Monday, August 30, 2010

MH ZITTO KABWE MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MAGHALIBI. AKIZINDUA KAMPENI ZA CHAMA CHAKE CHA CHADEMA. JUZI.

Mh. Zitto Kabwe  akijitambulisha  kwa wananchi  a.k.a Wapigakura , wa jimbo la kigoma mashariki, juzi



Mgombea wa Kigoma Kusini  kupitia  chama  cha  Chadema .. MUSLIM  HASSANALI  akujitambulisha  kwa wapigakura wake. Huku  Mh Zitto Akimpigia magofi kwanguvu zaidi. kuonesha kwamba anamkubali.





Mh . Zitto kabwe  Akisimikwa  kuwa MWAMI  a.k.a Chifu  wa waha.



  


MWAMI ZITTO  KABWE.

1 comment:

  1. Nimeona kwa mara ya kwanza eti Mheshimiwa Zitto Kabwe Akisimikwa kuwa Mwami wa Waha August 2010 hivi haya mnayaandika kwa maana zake au ni kwaushabiki wa mapenzi mliyo nayo. Mwami wa Waha mnajua tafsiri yake hata siku za nyuma wakati wa ukoloni hatujawahi kuwa na Mwami wa Waha ila tuliwahi kuwa na Mwami wa Kasulu Kibondo Na Kigoma akitokea Nkalinzi. Sio anatawala kwa ujumla wa waha wote Mkoa wa Kigoma labda ni Mwami wa Jimbo analo liwakilisha nafanya hivi ili kunyoosha historia isipindishwe na neno Mwami Lilikosa maana pale Mwl.Baba wa Taifa alipo vunja nguvu za madaraka za Wami ma Su Chief akasema watu wakiwatambua sawa lakini hawana nguvu ya maamuzi kiserikali.Tukabakia tunasema huyu alikuwa mtoto wa Chief au ndug ya Mwami bila Mamlaka. Iandikwe Kwamba amepewa heshima kama jinsi ya Wami walikuwa wakipewa zamani sio Mwami wa waha

    ReplyDelete